ZIFUATAZO   NI  PROGRAMS   ZITAZOWEZESHA  MWANAFUNZI  KUFANYA MAZOEZI  PAMOJA  NA  MITIHANI  HATA  KAMA  COMPUTER HAIJAUNGANISHWA  NA  MTANDAO.    



1.  DOWNLOAD  FILE

2. FUNGUA  FILE  HILO,  LITAFUNGUKA  KATIKA  WEB  SOFTWARE(mozila fire fox)

3.ANZA  KUFANYA  ZOEZI    AU  MTIHANI

4. FUATA  MAELEKEZO  YA  MTIHANI  KAMA  UTAVYOELEKEZWA  NA  PROGRAM  HUSIKA

5. BAADA YA  HAPO ANGALIA  MATOKEO YAKO

6. JE  NI  MAZURI  AU  MABAYA.  (KAMA  MABAYA  CHUKUA  HATUA KABLA  YA  KUINGIA KUFANYA MTIHANI WAKO  WA  MWISHO)

7. PROGRAM  ITASAHIHISHA  MAJIBU  YAKO  NA  MATOKEO  UTAPATA  PAPO  HAPO

8.  KAMA  MATOKEO  MABAYA  PROGRAM ITAKUELEKEZA  NINI  CHA  KUFANYA

9. KAMA  MASWALI HUYAELEWI  KABISA  PROGRAM  ITAKUELEKEZA  NINI  CHA   KUFANYA


PROGRAM  HIZI  ZIMETENGENEZWA  KWA  AJILI  YA  WANAFUNZI  WA  SEKONDARI  VIDATO  VYOTE,      PAMOJA  NA WALE  WANAFUNZI  WA  KUJITEGEMEA  PCs    NA  QTs.

MASWALI  MENGI  KATIKA  PROGRAM  NI AMBAYO  YAMEKUA  YAKIJIRUDIA SANA  KATIKA  MITIHANI  YA  TAIFA (NECTA)


MASWALI YOTE  KATIKA  PROGRAM  YAMETOKA  KATIKA  MITAALA  HUSIKA  INAYOTUMIKA  KWA  SASA


NAMNA  MASWALI  UTAVYOULIZWA  NDIVYO IMEKUWA  YAKIULIZWA  SANA  KATIKA  MITIHANI  YA  TAIFA 


(KUMBUKA)  ENDAPO  PROGRAM  ITAONYESHA   MATOKEO  YAKO  NI  MABAYA  TAFADHARI  FATA MAELEKEZO  NINI  UFANYE,  AU.   RUDIA  KUSOMA  NA  KISHA  FANYA MASWALI  UPYA.






 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ARTICLES  EXERCISE
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............O-LEVEL
SIZE..........5.2 KB

 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................BIOLOGY  EXERCISE, DIGESTIVE SYSTEM
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............O-LEVEL 

 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................CIVICS TEST, (gender issues, development, self reliance policy)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............FORM FOUR, PCs ONLY
SIZE............6.38 KB
FREE MARKS KWENYE SWALI LA 7
 

 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ENGLISH LANGUAGE TEST, (CONDITIONAL SENTENCE)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............PRIVATE CANDIDATES ONLY
SIZE............9 KB
NO FREE MARKS 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ENGLISH LANGUAGE TEST, (CONJUCTION)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............PRIVATE CANDIDATES ONLY
SIZE............83.4KB
NO FREE MARKS 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................GEOGRAPHY TEST ONE, (PHYSICAL GEOGRAPHY)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............PRIVATE CANDIDATES ONLY
SIZE.............4.8KB
NETWORK CONNECTION IS NEEDED TO DISPLAY MAP CORRECTLY 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................GEOGRAPHY TEST TWO, (PHYSICAL GEOGRAPHY)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............PRIVATE CANDIDATES ONLY
SIZE.............6 KB
NETWORK CONNECTION IS NEEDED TO DISPLAY THE PAGE CORRECTLY 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ENGLISH GRAMMAR;TEST, (PATTERNS AND VOCABURALY)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............ALL LEVELS
SIZE.............14.9 KB
NO FREE MARKS 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................HISTORY QUIZ, (NECTA 1995)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............PRIVATE CANDIDATES ONLY
SIZE............2.99 KB
PROGRAM INA MAELEKEZO YA ZIADA 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ENGLISH LANGUAGE TEST, (GRAMMAR)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............SCHOOL CANDIDATE, PCs, QTs
SIZE............2.99 KB
NO FREE MARKS 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................ENGLISH LANGUAGE TEST TWO, (GRAMMAR)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............FOR QT STUDENT ONLY
SIZE............2.99 KB
NO FREE MARKS 


 DOWNLOAD NOW

JINA LA FILE..................HISTORY QUIZ, (NECTA)
AINA YA  FILE..................HTML
MAALUMU KWA...............FOR PC STUDENT ONLY
SIZE............2.99 KB
NO FREE MARKS 





END



   
                        

files  are  created   as  html  document,  install  web browser to open these  files.  you  do  not  need  to have  internet  access  to  display  these  files,  will  work  as  a program.......please   tell us any problem you will face  when using these  programs,    

TANZANIA  EDUCATION BLOG   copy  right
OPEN  SOURCE   CODE......code  used  to  write  these  programs  are freely  available.  
to  view  code  source.      press and  hold (ctrl+U)  key  button  on keyboard,   you  can  copy  codes  on   HTML  WEB EDITOR,  or  NOTE  PAD UTILITY  to  reformat.



necta questions

Inaendeshwa na Blogger.

kiswahili bundles

Featured Post Via Labels

Instagram Photo Gallery

wait QT notes

wait QT quizes

" });

PC notes

Example onchange and submit